Jackline Wolper Adhibitisha kuwa Gari ni Yake-Ushaihidi huu Hapa
Gari alilodaiwa Kinyang'anywa
Jack na File La Gari
Jack Akiwa na Gari Hiyo
File la Gari
Card ya Gari
"Hii kwaajili ya ma fans wangu ambao wananisikitikia mimi kunyanganywa gari, nataka niwathibitishie kwamba hakuna kitu kama hicho kwasababu mimi ndio mmiliki halali, na wale wanaotunga msipotoshe jamii wajaribu kusema story yenye uthibitisho" Jack Wolper
No comments:
Post a Comment