Fainali za Taifa za mashindano ya Miss Utalii Tanzania kila mwaka, kuanzia mwaka huu, yatakuwa yakifanyika siku ya mkesha wa siku ya uhuru wa Tanzania, yani usiku wa kila tarehe 8 Disemba , kuamkia tarehe 9 Disemba ambayo ni siku ya uhuru wa Tanzania. mabadiliko haya yanalenga kuwa na kalenda ya kudumu ya kufanyika kwa fainali za taifa za Miss Utalii Tanzania kila mwaka, ambapo itatoa fulsa kwa watalii wa ndani na nje kupanga mipango yao na kuja kuhudhuria fainali za mashindano haya ya pekee nchini, ambayo yanalenga kutangaza na kuhamasisha utalii,utamaduni,uwekezaji,elimu,afya, umoja na amani miongoni mwa mataifa duniani ,kitaifa na kimataifa.Pia mashindano haya yanalenga kuhamasisha utalii wa ndani,utalii wa kitamaduni,utalii wa mikutano na utalii wa michezo,pia mashindano haya yana lenga kuhamasisha vita dhidi ya uharibifu wa mazingira,uwindaji haramu,uvuvi haramu, tamaduni kongwe na potofu
Misstourism Tanzania

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment