Kuna tetesi kwamba mwigizaji kutoka tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Wolper Masawe, amenyang’anywa gari lake la kifahari aliokuwa akitanua nalo katika mitaa ya mbalimbali ya jiji la Bongo. Habari zinadai kwamba Jacqueline amenyang'anywa gari lake aina ya X6 na mchumba wake baada ya kubaini kwamba anamcheat na mwanaume mwingine ambaye ni mfanya biashara maarufu jijini Dar.
Wakati huo huo kuna habari kwamba nyumba ambayo mrembo Wema Sepetu amekuwa akidai kuimiliki yenye thamani ya Tshs milliion 400 si yake bali ni ya muarabau mmoja ane julikana kwa jina la Ahmed amabye inasemekana yuko safarini Brazili kwa shughuli zake za kibiashara.
huo uongo sasa hebu muacheni Wema nae apumue. mara nyumba ya mwarabu mara ya mwanamke mmoja anamiliki hospital jijini mbona nyie vyombo vya habari mnakuwa wambea nawajinga bila kufikilia nini mnakiandika na kwa nini mnaandika upuuzi wenu. Ole wenu msiiweke hii coment.
ReplyDeletenyie kweli hampendi maendeleo ya wa2,mbona mema yao hamyasemi?BIG UP WEMA NA JACK WOLPER
ReplyDelete